Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,603 Reaction score 22,717 Jan 1, 2016 #1 Ni basi la Alhushum linalofanya safari kati ya Dar na Mbeya. Ajali imetokea njia panda ya Msosa baada ya basi kupinduka na kuingia mtoni. Inasemekana majeruhi ni wengi sana wakiwa wamepoteza viungo vyao muhimu hasa mkono/mikono. Darubini yangu imeonesha kuwa kuna baadhi ya maiti zimesombwa na maji na juhudi za uokozi zilikuwa zikiendelea. Tuwaombee ndugu zetu wahanga majeruhi wapone haraka,marehemu wapumzike pema peponi. @chachu2016 Attachments IMG-20160101-WA0019.jpg 62.4 KB · Views: 153 IMG-20160101-WA0020.jpg 115.4 KB · Views: 116 Last edited by a moderator: Jan 1, 2016
Ni basi la Alhushum linalofanya safari kati ya Dar na Mbeya. Ajali imetokea njia panda ya Msosa baada ya basi kupinduka na kuingia mtoni. Inasemekana majeruhi ni wengi sana wakiwa wamepoteza viungo vyao muhimu hasa mkono/mikono. Darubini yangu imeonesha kuwa kuna baadhi ya maiti zimesombwa na maji na juhudi za uokozi zilikuwa zikiendelea. Tuwaombee ndugu zetu wahanga majeruhi wapone haraka,marehemu wapumzike pema peponi. @chachu2016
Kapyungu A JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 3,496 Reaction score 3,168 Jan 1, 2016 #2 Limetumbukia wap hapo?
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,603 Reaction score 22,717 Jan 1, 2016 Thread starter #3 Kapyungu A said: Limetumbukia wap hapo? Click to expand... Mto Ruaha.
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,016 Reaction score 16,813 Jan 1, 2016 #4 Chachu Ombara said: Mto Ruaha. Click to expand... nasikitika kwakuwa huo ndiyo mto pekee wenye mamba wengi na wakubwa hapa nchini Tanzania.
Chachu Ombara said: Mto Ruaha. Click to expand... nasikitika kwakuwa huo ndiyo mto pekee wenye mamba wengi na wakubwa hapa nchini Tanzania.
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Jan 2, 2016 #5 cleverbright said: nasikitika kwakuwa huo ndiyo mto pekee wenye mamba wengi na wakubwa hapa nchini Tanzania. Click to expand... So what?
cleverbright said: nasikitika kwakuwa huo ndiyo mto pekee wenye mamba wengi na wakubwa hapa nchini Tanzania. Click to expand... So what?
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,016 Reaction score 16,813 Jan 2, 2016 #6 INNOCENT CHACHA said: So what? Click to expand... swine!
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Jan 2, 2016 #7 cleverbright said: swine! Click to expand... My no 1 source of protein
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Jan 2, 2016 #8 mbona hatari sana.
mwanzatrend JF-Expert Member Joined Dec 24, 2015 Posts 282 Reaction score 47 Jan 2, 2016 #9 Huyu bwana chacha ana matatizo akilini?
The hammer JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 2,409 Reaction score 1,813 Jan 2, 2016 #10 Msosa ni eneo gani au kabla ya kufika eljazeera ukitokea mikumi
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,713 Jan 2, 2016 #11 The hammer said: Msosa ni eneo gani au kabla ya kufika eljazeera ukitokea mikumi Click to expand... Ni maeneo ya Iyovi
The hammer said: Msosa ni eneo gani au kabla ya kufika eljazeera ukitokea mikumi Click to expand... Ni maeneo ya Iyovi
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,418 Reaction score 82,410 Jan 2, 2016 #12 Nipo huku maeneo ya ilipotokea ajali. Mungu awalaze pema marehemu wote.
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,713 Jan 2, 2016 #13 nifah said: Nipo huku maeneo ya ilipotokea ajali. Mungu awalaze pema marehemu wote. Click to expand... Wote wamekufa?
nifah said: Nipo huku maeneo ya ilipotokea ajali. Mungu awalaze pema marehemu wote. Click to expand... Wote wamekufa?
7ve JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,569 Reaction score 4,467 Jan 2, 2016 #14 Tunawaombea majeruh wapone haraka,Ila sijajua kwanini barabara yetu ile ya mbeya-dar ajali zinakuwa nyingi.
Tunawaombea majeruh wapone haraka,Ila sijajua kwanini barabara yetu ile ya mbeya-dar ajali zinakuwa nyingi.
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,418 Reaction score 82,410 Jan 2, 2016 #15 Tabutupu said: Wote wamekufa? Click to expand... Sio wote,habari ni nyingi kila mtu anasema lake ila jana mamba wameshiba. Inasikitisha sana.
Tabutupu said: Wote wamekufa? Click to expand... Sio wote,habari ni nyingi kila mtu anasema lake ila jana mamba wameshiba. Inasikitisha sana.
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,097 Reaction score 35,478 Jan 2, 2016 #16 Pole yao
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,748 Jan 2, 2016 #17 Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu ukianza siku salama na ukamaliza salama.....Kifo kimekuwa kitu kirahaisi mno nyakati hizi...Eeh Mungu uwapumzishe roho za marehemu mahali pema peponi.
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu ukianza siku salama na ukamaliza salama.....Kifo kimekuwa kitu kirahaisi mno nyakati hizi...Eeh Mungu uwapumzishe roho za marehemu mahali pema peponi.
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Jan 2, 2016 #18 hay a maeneo hayana traffic madereva wanaita dereva acha uvivu baada y kutoka mikumi hadi jirani n Aljazeera
hay a maeneo hayana traffic madereva wanaita dereva acha uvivu baada y kutoka mikumi hadi jirani n Aljazeera
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,122 Jan 2, 2016 #19 INNOCENT CHACHA said: So what? Click to expand... Mamba watapata chakula
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Jan 2, 2016 #20 Poleni majeruhi ^^