Ajali: Basi La Shabiby lapata Ajali

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,693
22,716
Nimepokea taarifa kwamba basi la Shabiby likitokea Morogoro kuelekea Dar limepata ajali na kudondoka eneo la Tungi Morogoro kilomita chache kutoka Msamvu.

Taarifa za kama kuna majeruhi au waliofariki bado sijazipata.

Tutaendelea kufahamishana kadri nitakapokuwa nikipokea taarifa!
 
Vya nzo vya ajali

1:Ajali yenyewe
2:Miundo mbinu

¾: Ushirikina

4'Uzembe
5.Mwendo kasi
 

Attachments

  • 1436267858005.jpg
    1436267858005.jpg
    7.8 KB · Views: 2,605
Mkuu unawezaje kuripoti habari kama hii bila kufanyia utafiti wa kutosha hivi unaelewa mathara ya habari hii. Chukulia wewe kama mzazi unapokea taarifa kama hii utafanyaje ili hali mtoto alikuaga kapanda basi. Samahani chunguza kwamakini then tuma taarifa
 
Ni breaking news. Habari zitazidi kuwasili jamani. Tuwe na subira wandugu.
 
Kama Chachu Ombara hajasema kuhusu hii ajali basi ujue damu haikumwagika.
 
Back
Top Bottom