LAZIMA NISEME
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 261
- 296
Hakuna neno kama hili katika kiswahili "ajari, ajari" ni Ajali:crying:
Dah...pole sana majeruhi...ila jukwaa sio lake hii kitu
Bus la KIDIA ONE linalofanya kazi MWANZA TO DAR namba T449 ASZ limepata ajari maeneo ya mkolani ni mita kadhaa kutoka stedi jijini mwanza
Hakuna aliyekufa ila majeruhi ni wengi
Inaonyesha gari iliteleza kidogo na kulala, na hii inasababishwa na wakandarasi wa barabara zetu kuziinua sana barabara na kuweka slope kali pembeni