Poleni wote mlioathirika na mkasa huo.
As a declaration of interest nina ndugu zangu ambao wanasafiri kesho(Jumatano) kutoka Mbeya kuja Arusha kwaajili ya kumposa binti hapa Arusha.
Mungu wa Israel, epushia mbali ajali hizi, roho ya ajali na vifo ishindwe katika jina lipitalo majina yote!...
Hawa ndugu zangu na wasafiri wengine wote wafike salama na kutimiza azima yao!