The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,728
- 28,349
Hahah kwa uelekeo ule alioenda chuma yake imeenda kuegema kwenye road trench.Jamaa kaamua achukue chuma amfukuzie😂😂
Ameepusha mengi sana na dereva wa bas wala hajaonyesha kujali yeye kapishwa huyoo kayoyoma.