mmasai halisi
Member
- Apr 9, 2014
- 55
- 12
Nipo safarini nimekutana na ajali ya gari ya surf ambayo ilikuwa ikitokea Njombe iligonga Fuso uliyokuwa imeharibika barabarani!, mtu mmoja amepoteza maisha

Pole zao. Ukiiangalia hiyo surf ilivyopondeka utagundua kwamba ilikuwa
kwenye mwendo mkali.

imepondeka sana,walopona wakatoe zaka