Ajali ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cassie, Oct 27, 2011.

 1. c

  cassie Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Lori lililokuwa likisafirisha mitihani ya kidato cha nne kutoka ruvuma kwenda NECTA limepata ajali baada ya kupasuka tairi muda huu hapo Bwawani. Dereva na askari wamefariki hapohapo. Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pole Kwa Wafiwa, Lakini mkuu naona kama inabidi uediti kidogo maana baraza la mitihani ndio nekta sasa kwenda NECTA naona kama umekosea.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  duh!..hii hatari.mungu azilaze pema roho za marehemu.
   
Loading...