Ajali Ajali JKT kona ya Mtongani Mbezi

Ajali Ajali JKT kona ya Mtongani Mbezi

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,423
Reaction score
88,760
Watu zaidi ya watatu wamekufa,ni ajali ya uso kwa uso kati ya Scania na Winchi
 
Kona gani mkuu mi nimepita hapo saa kumi na mbilia asubuhi sikuiona
 
Nimeona hii asubuhi mara tu baada ya kupita sheli ya sinkansika kama umetoka tegeta, uhai sehemu yake ndogo na ndiyo thamani ya mwanadamu.
 
Yah, niliona hiyo na palikuwa na kafoleni kakiaina ile asubuhi. RIP.
 
r.i.p.mwanadamu amezawa na mwanamke siku zake za kuishi sio nyingi nazo zimejaa mateso.maskin na tajiri hapo ndio tunapo kutana
 
Rest in Peace binadamu wenzetu. Sote tumetoka kwa mavumbi na tutarudi katika mavumbi.
 
Ni JKT machimbo ya Tegeta, sio kona ya mtongani, ni karibu na trafiki aliposababisha ajari na kukimbia mwaka juzi ikiwa barabara moja
 
Back
Top Bottom