Ajali 10 mbaya zaidi za vyombo vya majini katika historia

Aisee kweli bongo bahati mbaya, yani hata kutunza kumbukumbu hatuwezi. Ajali za miaka ya 1912 zina kumbukumbu ya idadi ya waliofariki na manusura lakini sisi ajali za juzi juzi tu hapa hatuna kitu!

All in all R.I.P wahanga wote!
 
Ni kwa sababu hatuna utaratibu wa kudocument vitu. Meli inaondoka lakini hakuna idadi kamili ya watu waliomo ndani.

Nimesoma somewhere (nadhani ni Wikipedia) wanasema eti capacity ya MV Spice ilikuwa 600+ people lakini ilibeba watu 3000+. Nadoubt hii taarifa lakini ndo iliyowekwa out there na kwa sababu mamlaka hazijatoa taarifa ya kueleweka chochote tu kinaweza kuwa ukweli.

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa maana mara nyingi hua navuka pale kigongo kwenda upande wa pili wa busisi (wakazi wa kanda ya ziwa watakua wanapafahamu vizuri) hakuna documentation yoyote inayofanyika zaidi ya kupewa kirisiti cha efd kisicho na jina, namba.... yani hata hakieleweki. Tuna mamlaka za ajabu sana
 
wanajali zaidi nafasi za magari. floor ya kuegesha magari ikijaa ndio mgambo huzuia mengine yasiingie. kuhusu abiria ni kila mmoja kujibanza awezavyo na kwa idadi isiyojulikana. hapa kweli nami naiona hatari. watu wanasimama hadi koridoni, sehemu ya magari, karibu na captain room n. k
 
Kiongozi mara nyingine wacha tu haya mambo yapite. Sio vizuri kujisifia majanga, hakuna chochote cha kujivunia hapo zaidi ya aibu tu. Bora hata mamlaka zilipoamua kuficha takwimu halisi
Sio kusifia bali ni kuweka idadi sawa na pia kutoka katika kumbukumbu tunajua ajali ilisababishwa na nini ili kuepuka kurudia makosa..
 
Back
Top Bottom