real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Habari za J3 wadau,
Katika pitapita yangu kwenye mitandao nikakutana na habari hii;
Wanafunzi wapatao 1,045 wanaosoma katika Shule ya Msingi Chipu, Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa na walimu wao, wanalazimika kujisaidia porini baada ya shule hiyo kutokuwa na vyoo kwa kipindi cha mwaka mzima.
Sasa nikawa najiuliza hivi kujenga choo kunahitaji taaluma gani kubwa au gharama gani kubwa kwa watu ambao tayari wana eneo kubwa la kuchimba, maana wanajisaidia porini.
Kwa haraka haraka choo cha kawaida kinahitaji shimo, tofali, na simenti na mchanga kiasi, sasa wazazi wakijichanga hata tshs. 2000/=, waka organize wakachimba na kujenga si tayari wanapata choo? wanasubiria serikali?
Hivi tunaanza kujigamba eti ''kwa kasi ya magufuli tanzania itakua kati ya nchi zenye uchumi wa kati ifikapo 2020" kweli? Kwa wananchi wasiokua wabunifu na wanasiojituma kama hawa? Maendeleo hayaletwi na serikali tu, bali pia wananchi wana mchango mkubwa sana, japokua utwala mzuri pia ni muhimu
ni hayo tu.