mmoja tu
Hakuna cha zaidi ya
kwenda hospitali na muende kwa hospitali za maanazinazoeleka,mkienda za
serikali hakikisha mnamuona daktrari bingwa.
Jisaidie mwenyewe.Picha Kwanza.Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.
Nyofoa hilo gumu ili apone.
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi korodani hilo humuuma,na nguvu zake za kiume zinazidi kupungua sana. Tusaidieni kwa ushauri.