Hizo tarehe zisikutishe waulize ma mods, sisi wengine tupo JF toka enzi za Jambo. una nini wewe?
mi naona sawa tu..ujinga na upumbavu wa serikali ya Tanzania hauwezi ukawa ni kisingizio cha kutaka kusamehewa pale wanapokiuka mikataba hata kama ni feki...they deserve it and they have to pay the cost of their ignorance...hakuna kuuma uma maneno katika hili...chenge kafanya kazi yake kama proffesional and for this congrats to Chenge....Si wamelikataa jiwe kuu la pembeni kazi kwao sasa
Ahsante kuwa mkweli ya kwamba upo miaka mingi, lakini huna ukweli!! ungekuwa mkweli usingeaga na kurudi kwa jina lingine.
Wewe Faiza Foxy ndiye Maji mshindo.
Si Chenge, cha ajabu ni nini. Alishapoteze guilty consciousness😛ound:katika kudhihirisha uswahiba na ufisadi wa mapacha watatu,chenge amewasilisha pingamizi la kisheria kutetea dowans ilipwe na serikali ya Tanzania
Jee kuna sababu yoyote ya maana kwa kutumia huduma ya mtu halafu usimlipe?
Mkuu umenena vyema. Chenge kama mwanasheria ana haki ya kufanya hivyo. Tatizo ni hao walioingia mkataba huo ambao pamoja na wanasheria wao. Pia kuna wanasheria walioshauri mkataba uvunjwe na kisha wanasema ni haki tozo ilipwe. Tuasiangalie tulioangukia, tuangalie tulipojikwaa.