Aiyaaaaaaaaaa kumbe Mbwana Samatta si mtanzania bali ni mtunisia?!! Someni hii!!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,985
Sijui kama wapo wrong au ni sahihi jamaa ni mtunisia!!
 
Attachments

  • 1a855b5a-d541-4297-a41d-71b0843af22e.jpg
    1a855b5a-d541-4297-a41d-71b0843af22e.jpg
    85.5 KB · Views: 34
Caf ndio wamekosea ila wamebadilisha mitandao yote ya spot ikiwemo BBC sport for English wamemtangaza vizuri tu kua anatoka tsnzania
 
hiyo inamaana kwamba jina la Tanzania ndio mara ya kwanza kuonekana katika ramani ya soka kwenye matukio makubwa kama haya..kama mnavyojua mwanzo mgumu.
 
Caf ndio wamekosea ila wamebadilisha mitandao yote ya spot ikiwemo BBC sport for English wamemtangaza vizuri tu kua anatoka tsnzania
Wewe mwenyewe umeshindwa itaja vizur nchi yake hao wazungu wataweza??
 
Back
Top Bottom