Mimi nitaleta hizi za kimkoa. Wewe lete za Darfur,Somalia, Israel na PalestinaHizo ni issue za kimkoa,huu ni mtandao wa kimataifa, embu jiratibu
Walioingia wanadai wamelazimika wakubali kumsafisha huyo mama ambaye ni naibu katibu kwani eti wao nimakada na wanazo ndoto za kugombea nafasi mbalimbali kwenye siasa.Mkuu kwani mchakato wote wa uchunguzi uliushuhudia wakati unafanyika na hao wajumbe kutoka makao makuu? Na je, ripoti yao umeiona? Nionavyo mimi hao wajumbe hawawezi kutoka DOM na kuja Tanga kufanya hicho ulichokisema.
Yes, kusubiri ripoti ndiyo jambo la msingi.Ninawafahamu baadhi ya watumishi wa pale TSC makao makuu, ni watu makini sana katika utendaji wao wa kazi.Natarajia kuona haki inatendeka ktk Jambo hilo.Walioingia wanadai wamelazimika wakubali kumsafisha huyo mama ambaye ni naibu katibu kwani eti wao nimakada na wanazo ndoto za kugombea nafasi mbalimbali kwenye siasa.
Sasa sijui wanataka kugombea kwasababu zipi wakati hata hela waliyotakiwa kusaini imeliwa bila kushirikishwa na wanamsafisha mtu wakiwa shingo upande.
Ninarudia kusema tunaisubiri ripoti ya makao makuu tuone je watawabeba hapo wavunja utaratibu au watasimama kwenye ukweli?
Muda umeenda sana wameshaachwa. Labda uongo,urafiki na rushwa vimeshatamalakiSiyo sahihi... Watashughulikiwa...
Kumbuka pia hao TSC makao makuu ni binadamu na wana njaa na tamaa.Yes, kusubiri ripoti ndiyo jambo la msingi.Ninawafahamu baadhi ya watumishi wa pale TSC makao makuu, ni watu makini sana katika utendaji wao wa kazi.Natarajia kuona haki inatendeka ktk Jambo hilo.
Wewe usisome majukwaa ya kimkoa.Hizo ni issue za kimkoa,huu ni mtandao wa kimataifa, embu jiratibu