Aishije?

306919_258923080814949_100000917762642_805858_512779864_n.jpg

Wanawake tuache kuwa wajinga by the way. Unaishije kwa mwingine kutaka? Unataka wewe kwanza siyo mwingine atake kwa ajii yako. Ndiyo maana wanaume wanatutupa ndani wanaenda sehemu nyingine ambako kuna ushindani. Kwa mfano mwanaume anauliza swali unabaki kuwa ndiyo mzee, wakati nyumba ndogo ina urgue with point na kinaeleweka, mambo yanaenda sawa. I see mimi utawandawazi wa kuwa commanded nafikiri siuwezi. I remain to be Carol na maamuzi yangu ili mradi siyo ya kuvunja heshima ya mwenza wangu wala kumfanya awe nervous.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom