Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 121
- 182
Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza na Namibia.
Kosa hili amefanya zaidi ya mara tatu ni vile tumecheza na timu dhaifu vinginevyo tungefungwa kupitia uzembe huo japo ameokoa michomo mingi ya hatari. Hili litazamwe vizuri.
Kosa hili amefanya zaidi ya mara tatu ni vile tumecheza na timu dhaifu vinginevyo tungefungwa kupitia uzembe huo japo ameokoa michomo mingi ya hatari. Hili litazamwe vizuri.