rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,008
- 25,623
Beki naxo zinazingua halafu mpira wa sasa beki ndio zinaanzisha mashambulizi lakini mwamnyeto na beki mwenzake protus wao wakipata mpira ni kubutua mbele utafikiri wanacheza mpira wa ndondo cup. Mbele nako wakipata mpira wanafikiria kufunga badala ya kuangalia wenzao wamekaaje sijui ndio wanavyofundishwa au wakiingia wanacheza wanavyojua