Angeweza kuchukua pesa ili watolewe kuwafurahisha yanga na fainal yao...Aliyekuwa akituchelewesha ni Aishi Manula kumbe
Thank You
Ujinga ilhali hata uongozi wa Simba unalijua hilo na ndo maana anasugulishwa benchiMmeanza ujinga rasmi
Sahihi kabisa.Na chama pia
Well said!Angeweza kuchukua pesa ili watolewe kuwafurahisha yanga na fainal yao...
adhabu aliyoipata inamtosha , angekufa asingona hayaManula alistahili kupigwa kipapai kabisa yule, adhabu ya usaliti ilitakiwa kubwa zaidi ya hiyo kupigwa benchi.
Nakazia.Manula,Chama na Mzungu pori walikuwa virus wametuchelewesha sana hawa watu
Manula aondoke hatumtakii, aende huko Avic town kibonde maji, silipendi hili li mtu.adhabu aliyoipata inamtosha , angekufa asingona haya
Jamani shemeji yangu usimfanyie hvyoooManula aondoke hatumtakii, aende huko Avic town kibonde maji, silipendi hili li mtu.
Ila Madame, shem ako kazingua sana, kutusaliti vile kweli? Atupishee bhana.Jamani shemeji yangu usimfanyie hvyooo