Aiseeh! Mke wa Mtu sumu

Wapi huko mkuu na mimi nikafanye yangu kabisa kabisa?
 
Ameshawaambia mfike Mufindi mkapate uhakika mnataka nini zaidi. Hamjui hiyo ni sehemu maarufu kwa kilimo cha chai? Hapa kaamua kuipika chai bila ghalama tunasubiri sukari tu toka mtibwa
 
Usitutishe.. Halaahh

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwa hiyo wakati huo wamekuchukua kimazingara,wewe ulikuwa wapi,ulikuwa na nani,ulichukuliwaje,mganga alikuhamshaje ?
Kingine,ulimuuliza yule binti kwanini katoa siri,na mume wake alipojua kuwa mtego wake umefeli alichukua hatua gani ?
 

Hii siyo ndoto kweli hii!! Mtoa mada ulikua 😴😴😴 bila shaka. Uliposhtuka ukadhani ni kweli. Acha kuiharibia sifa Wilaya ya watu bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…