Aiseeh! Mke wa Mtu sumu

NIMESHTUKAA SANA, Nikajua na uzi umeuandikia ndani ya jeneza Mkuu
 
Apo uongo, mtu kitu cha kwanza kinachofanyiwa mfu ni kufumbwa macho, sa we ulionaje wakilia na kuzimia
 
Wengi hawajui, waje iringa tuwazike, kila kitu wao wanadhani ni utani tu.
Sure mkuu,wao wamekazana kusema chai TU wakati hawajui ya huko.Waende wajionee mtu anavyokufa huku mnamuona.
 
Omba lisikukute, wewe umekamilika
 
Sure mkuu,wao wamekazana kusema chai TU wakati hawajui ya huko.Waende wajionee mtu anavyokufa huku mnamuona.
Ndiyo Maana nimewapa ruhusa waje wajionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…