Aiseeh! Mke wa Mtu sumu

Mbona hujamalizia kusema na jinsi ulivyoliwa na kiboga kimazingara pia..
 
Taratibu za kusafirisha mwili ni pamoja na kuuchoma mwili sindano ya kuufanya usiharibike ndipo huwekwa kwenye jeneza wewe ilikuwaje? Na ilichukua muda gani kukaa kwenye jeneza wakati wanafanya maandalizi na uliwezaje kupumua? Kwa hii chai hatuji Mufindi maana ndio wanaongoza kwa kuizalisha na mashamba makubwa yapo huko kwa mkoa Iringa. Kilimo chema cha chai mkuu
 
Sumbawanga hiyo.
 
Chai nimesha pata lete andazi mbili haraka.

Sent from my CLT-L09 using JamiiForums mobile app
 
Aisee, nawish ungezikwa kidogo ili tuone utafeel aje huko kaburini, anyways kuwa makini wadada waliosingle wapo kibao,why uparamie wake za watu bana
kwel singles wapo ila kutoa papuchi sasa ni kama afisa mikopo anadai rejesho.
 
Nyie msioamini si kosa lenu,nilivyoanza kuisoma TU hii story nikasema hii Ni Iringa TU.Hii kitu ipo jomba Tena inaitwa LUTAMBULILO.
Wengi hawajui, waje iringa tuwazike, kila kitu wao wanadhani ni utani tu.
 
vipi kuhusu huyo mumewake alifanikiwa kukmamata mwizi wake au mliyamaliza vip na mume wa huyo dada maana ingekuwa mimi tungefikishana mbali sana mkuu
Yeye alikuwa hayupo, japo baada ya mi kupona hela zilinitoka aisee
 
Mlembo wa kijijini, kwaio hawakukuweka kwenye jokofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…