Aiseeee!!! Hii ni balaaaaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aiseeee!!! Hii ni balaaaaa!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Michael Amon, Sep 3, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Haibiwi mtu hapa kama mitaa ya zenji

  [​IMG]
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,539
  Trophy Points: 280
  Duhhh!!!
   
 3. c

  christmas JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Aisee...
   
 4. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee anachukua teke lakini ana enjoy kuchungulia kwa chati. Uchungu na raha pasu kwa pasu.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Huyo jamaaangetumia vema vidole vyake vya mkono wa kulia, huyo dada angeishiwa nguvu na msela angeondoka pochi kiulaiini.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  young master nifundishe taekwondo/kung fu am tired of some people i wanna teach them a lesson.....
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hilo tu...wala usijali...njoo kwangu kuanzia saa nne usiku kwa ajili ya kuchukua mafunzo. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  chezeya beijing wewe!?
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  naona jamaa jicho kalishusha chini hata uchungu wa teke hausikii....
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaa!!! Anakula chabo.
   
 11. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo alikuwa na mpango mwingine so kuiba s unachek mwenyewe alivyokodolea mimacho kunako......
   
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  haha umenikumbusa story 1 niliiskia on the nwz, jamaa m1 russia alienda kuiba nyumban kwa mama m1 kumbe mmama ni martial arts xpert. Alikula kipigo afu akafungiwa ndani mama akawa anam2mia kama sex slave kwa cku 3, jamaa alipotoka kaenda kushtak polis wote wakafungwa
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi akinirushia kiteke chake nalenga kitu inaitwa finga katikati ya viguu vyake yaani ataisikia finga myiuuuu utamu wake mpaka siku ingine atajuta kujifanya jet li
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Embu kajaribu kufanya hivyo uone kama hujatolewa meno ya sebuleni.
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  niamini master mtoto siku moja china jet lee alinikimbia atakachoambulia kusema ni ''you have sweet finger''
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata hivyo na kademu kenyewe kamejipanua vizuri hapo lazima mwizi aghairi maana atafikiri kanataka kumpa.
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  kwani wewe ukirusha teke huwa unabana miguu?
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata mtama ni teke.
   
 19. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Wanawake kama hao mara nyingi unakuta amevaa bukta (tena kijinsi). Hapo hufaidi kitu.
   
 20. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  amepewa beneke ale akashtaki? uuiiwii ningempata mimi tena mrusi?
   
Loading...