Aisée sitoisahau hii

Aisée sitoisahau hii

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
224
Ilikua miaka michache iliyopita hivi niliwahi kumfukuzia msichana niliyetokea kumpenda sana kwa muda kama wa miezi minne hivi, lakini matokeo yake ikawa ni kutolewa nje(kukataliwa) kwa kigezo kua anasubiri amalize form six ndio aanze mahusiano, wakati huo mimi nipo chuo first year pale saut(mwanza),mwisho wa siku nikaona sio shida acha nimpotezee, baada ya kuwa kimya kidogo bidada yule alishituka ila cjui alipata wapi namba yangu alinipigia wakati huo nipo zangu geto nafanya assigment, île kupokea tu bidada akaanza ooh cjui mbona kimya wangu,mi nikajikuta kama île staki tena ila wakati huo moyoni najisemea kua ipo cku akiingia ktk line atajuta kwann alinipa papuchi, basi bidada yule dizaini kama akajichanganya mwenyewe les kuniambia kua ikifika jumapili akitoka kanisani atakuja kunisabahi maana hajaniona cku nyingi, siku ikafika bwana mzee mzima nikaweka mambo sawa geto nikijua leo lazima papuchi itifuliwe,demu akafika geto nikamkaribisha ila ckuwa na bashasha sana ili acje akajua kama nilimpania baada ya stori mbili tatu ckutaka Kuchelewa nikaanza kumpa romance za hapa na pale, ghafla bwana yule demu nikaona kama ameganda flani hv wala hapepesi, nikajua ndio stairi yake baada ya muda tena naona povu zinamtoka mdomoni n'a piano, aisée hapo nikachanganyikiwa ikabidi nimpigie cmu mshikaji wangu mmoja ambae alikua anaendesha bajaji ili aje tumbebe yule bibie tumpeleke hospitali, jamaa akasema ana mteja labda kama atakubali achelewe kidogo safari yake, jamaa akaongea n'a yule mteja wake wakakubaliana kua aje ,baada ya muda wa dk 10 bajaji ikaja mimi nikaingia ndani n'a dereva ili kumbeba yule demu, île kumtoa n'a kumuingiza tu ktk bajaji kumbe yule mteja aliyekuja n'a bajaji ndio alikua baba wa yule demu aisée kilichotokea..... itaendelea
 
hii itakuwa series
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom