tatizo hao wanawake wa kuolewa na mimi hakuna labda nije niangalie huko mwanza
angalia ipo siku utaota unafanya na kumpizia marehemu aliyekufa miaka ya 70 huko.
hahahahahaaha jf oyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
hebu tazama na godoro kama hujalitoboa...
hahahahahaaha jf oyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Oyeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
tatizo hao wanawake wa kuolewa na mimi hakuna labda nije niangalie huko mwanza
mkuu tatizo tunawaogopa wasukuma, ukichepuka hawakawii kukuelekeza kibla.. alafu matunzo hamjui... mkioa mwanamke mnamgeuza trekta.. atalima mpaka aombe poo, uzazi wa mpango kwenu ni marufuku... mnazaa mpaka mayai yaishe.. endelea kuota tu kwa kweli
hebu mimi sio msukuma mimi kwetu mikoa ya nyanda za juu kusini