Aisee nimekoma mpaka nimekoma tena

Aisee nimekoma mpaka nimekoma tena

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,698
Reaction score
42,009
Haka kademu nimekatongoza kama mwezi mmoja hivi nyuma nimekaomba gemu wiki nzima leo kakubali.

Preeee mpaka hotel flani hivi njia iendayo kariakoo hapa mapipa

Tukachukua chumba weee mpaka ghorofani tukaoneshwa tukazama tukaanza sasa nikahisi huyu mwanamke anataka kunipiga bao la kisigino anataka juu awe yeye shenzz zake yaani kabla sijaweka naona wazungu hao kumbe ndoto

duuhh nimeamka naenda kuoga nimebadili bukta na shuka naviloweka kesho nitavifua
 
Hayo ndiyo uyawazayo mchana kutwa mana ndoto ni mwendelezo wa mawazo ya mtu kabla hajalala.
 
Jiangalie inawezekana ulilala njaa sio bure au popo bawa karudi
 
kila demu huku Dar anasoma chuo hakuna ambaye yupo yupo tu
wamekomaa wengine kama mafundi Aisee

mpaka aibu naona mimi

Hhhhhhhaaaa waaambie waone aibu
 
Hhhhhhhaaaa waaambie waone aibu

macho makavu yaani mpaka sasa sijui kama nilishawahi kudate na mwanamke niliyemzidi umri
waongo mpaka waongo tena

yaani mpaka aibu naona mimi
 
Back
Top Bottom