Aisee nilibadilishiwa vichwa

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Mama mmoja alifiwa na mumewe,
akaenda mochwari kucheki maiti ya
mumewe kwa mara ya mwisho,
akakuta mumewe kavalishwa suti
nyeusi akalalamika sana kuwa
mumewe aliomba azikwe akiwa
amevaa suti ya bluu. Muhudumu
wa mochwari akajitahidi kumpoza
na kumwambia atajitahidi kuona la
kufanya. Kesho yake siku ya
mazishi wakati wanaaga maiti yule
mama akapata furaha ya mshangao
alipokuta maiti ya mumewe
imevalishwa suti ya bluu.
Akamaliza shughuli za mazishi kwa
shukrani kubwa akaazimia lazima
akamzawadie mhudumu wa
mochwari. Kesho yake akaenda
mochwari, akamkuta muhudumu na
kumshukuru sana kwa kuwezesha
mumewe kuzikwa na suti ya rangi
aliyokuwa anataka.

MAMA: Asante sana uliwezaje
kumbadili nguo?

MUHUDUMU :
Mama ulipotoka tu si akaja mama
mwingine kumbe mumewe
alivishwa suti ya bluu, japo alikuwa
anataka kuzikwa na suti nyeusi.
Nikaona jibu kumbe rahisi sana,
nikabadilisha vichwa.!!!!!
 
...kwa wewe ni mgeni mno humu ndani kiasi kwamba hufahamu namna ya kufika jukwaa la jokes??
 
Mkuu naona unaongoza kwa kuposti thread nyingi hapa jukwaani zisizoeleweka tena hata huangalii Jukwaa husika! Muda mfupi umeposti threa mpya hata haijaanza kuchangiwa. Kama huna hoja za maana si lazima kuposti mkuu, unaweza kusoma za wenzio pia kuliko kuleta traffic ya threads hapa Jukwaani! Mods tafadhali fanyeni kazi yenu basi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…