kilaza mwenzangu
Member
- Oct 21, 2017
- 66
- 59
Chanzo babu,hofu yangu uzito wa kuinuka ili ipae maana nikiangalia hizi lori za mafuta zinavyopata tabu kupandisha milima kwasababu mzigo mkubwa mmmhhilo dege full tank linakula lita 240,000 sawa na semi 6 zenye kubeba lita 40,000.
mtoa thread kaandika eti 970,000 ilaChanzo babu,hofu yangu uzito wa kuinuka ili ipae maana nikiangalia hizi lori za mafuta zinavyopata tabu kupandisha milima kwasababu mzigo mkubwa mmmh
hilo dege full tank linakula lita 240,000 sawa na semi 6 zenye kubeba lita 40,000.
Nmekuwa najenga barabara kuu ya mwanza to singida niliona magari mengi semi trailer zimebebeba tanki la mbele lita 40,000 na nyuma 60,000. sasa hiyo ni semi moja tu. labda cha kushangaza hapa ni kuona ndege moja ikijazwa lita 97,000. mbona hata hizo zinazotua hapa zinakula tani 10 za mafuta?mtoa thread kaandika eti 970,000 ila
ni lita 97,000.hizo lori zenu zinazopata tabu kupanda milima ni mbovu
Wabongo kwa kashfa mko vizuri.Hivi vibajaji vyetu tunapigiwa navyo kelele. Ingekuwa ndio tumenunua hilo dude sijui ingekuwaje?
Tani 10 ni sawa na lita ngapi mkuu?au kg1 na lita 1 uzito nisawa?nakama sawa basi hizi zinazokuja kwetu itakuwa nilita 10,000 hapo haishangazi lakini hii nilita laki moja kasoro tena yakuongezea inamaana yalikuwepo mengineNmekuwa najenga barabara kuu ya mwanza to singida niliona magari mengi semi trailer zimebebeba tanki la mbele lita 40,000 na nyuma 60,000. sasa hiyo ni semi moja tu. labda cha kushangaza hapa ni kuona ndege moja ikijazwa lita 97,000. mbona hata hizo zinazotua hapa zinakula tani 10 za mafuta?