S spereree Member Joined Jan 14, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Mar 8, 2014 #1 Mbona spidi kali (nzuri) hivi... Nina download apps hadi 700kB/sec?
Kind JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 247 Reaction score 40 Mar 8, 2014 #3 Mbona speed ya kawaida hiyo Amia smile speed 3mbs na haikatikati na haina msimu
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,770 Reaction score 22,721 Mar 8, 2014 #4 Kind said: Mbona speed ya kawaida hiyo Amia smile speed 3mbs na haikatikati na haina msimu Click to expand... Mwenzio anazungumzia 700 kb/s Ambapo uki_convert kuwa katika unit zako itasoma 5.6mbps , hivyo kuizidi hiyo speed ya 3mbps Hapa kuna aina mbili za uandikaji either kbps au mbps , na kb/s au mb/s Mkuu Kind fafanua hii yako iko upande upi 3mbs
Kind said: Mbona speed ya kawaida hiyo Amia smile speed 3mbs na haikatikati na haina msimu Click to expand... Mwenzio anazungumzia 700 kb/s Ambapo uki_convert kuwa katika unit zako itasoma 5.6mbps , hivyo kuizidi hiyo speed ya 3mbps Hapa kuna aina mbili za uandikaji either kbps au mbps , na kb/s au mb/s Mkuu Kind fafanua hii yako iko upande upi 3mbs
Nyanya mbichi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 3,716 Reaction score 2,221 Mar 8, 2014 #5 inazingua sana tangu saa kumi usiku nikabadili nimeweka tigo mie.
Paje JF-Expert Member Joined Apr 24, 2010 Posts 1,185 Reaction score 486 Mar 8, 2014 #6 Mwl.RCT said: Mwenzio anazungumzia 700 kb/s Ambapo uki_convert kuwa katika unit zako itasoma 5.6mbps , hivyo kuizidi hiyo speed ya 3mbps Hapa kuna aina mbili za uandikaji either kbps au mbps , na kb/s au mb/s Mkuu Kind fafanua hii yako iko upande upi 3mbs Click to expand... mkuu kpbs na kb/s zote ni sawa. tofauti ni kbps na kBps ambapo 8kbps= 1kBps. hiyo herufi kubwa B ndio ina maana Byte na b ndogo ndio bit
Mwl.RCT said: Mwenzio anazungumzia 700 kb/s Ambapo uki_convert kuwa katika unit zako itasoma 5.6mbps , hivyo kuizidi hiyo speed ya 3mbps Hapa kuna aina mbili za uandikaji either kbps au mbps , na kb/s au mb/s Mkuu Kind fafanua hii yako iko upande upi 3mbs Click to expand... mkuu kpbs na kb/s zote ni sawa. tofauti ni kbps na kBps ambapo 8kbps= 1kBps. hiyo herufi kubwa B ndio ina maana Byte na b ndogo ndio bit
UncleJoe JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 624 Reaction score 509 Mar 8, 2014 #7 Nyanya mbichi said: inazingua sana tangu saa kumi usiku nikabadili nimeweka tigo mie. Click to expand... mie voda tangu jana inakataaa kujiunga cheka eti salio sio la kutosha. airtel usiku no internet connection mpaka alfajiri ndio ikarudi
Nyanya mbichi said: inazingua sana tangu saa kumi usiku nikabadili nimeweka tigo mie. Click to expand... mie voda tangu jana inakataaa kujiunga cheka eti salio sio la kutosha. airtel usiku no internet connection mpaka alfajiri ndio ikarudi