AISEE LAPTOP YANGU HAINGIZ CHAJI

Antar07

Member
Dec 27, 2017
29
10
Ninaka-laptop kangu kila niki-connect katika power source kinaniambia charge connected but not charging msaada plz...
 
Toa betri then connect kwenye power source through charger then iwashe baada ya hapo rudisha betri ikiwa katika hali hiyohiyo. Baada ya hapo chomoa charger then connect again. i gues itakusaidia
 
Toa betri then connect kwenye power source through charger then iwashe baada ya hapo rudisha betri ikiwa katika hali hiyohiyo. Baada ya hapo chomoa charger then connect again. i gues itakusaidia
Thanx I'll try
 
Issue hy hutonana na MOJA YA WAYA MUHIM kati ya zile za ^moto^ kua ^loose^ Au kukata mahal hvo system nzima y chaji/adapter inakua loose somewhere. .. BADIL CHAJA. .. vngnvyo BATTERY CONNECTION haiku sawa ama adapter port ina ttzo
 
Thanx
 
inawezekana charger ikawa ni tatizo kwa sababu charger ina waya 3
posituve negative na ground sasa kati ya ground na negative moja ikiwa loose huwa haichaji,positive ikiwa loose charger inakuwa haina moto kabisa ila taa ya power kwenye adapter huwa inawaka na inawaka kwa sababu waya wa output ndio uliokatika hivyo ww unaweza kusema charger ni nzima kumbe tayari imekata
 
Jaribu kuangalia pia sehemu ya kichwa inayoingia katika pc. Kupinda kwa ka chuma kadogo kaliko ndani inaweza kuwa sababu.
Iliwahi kunitokea hii.
vp yako inasaport store?
yangu kila nikijaribu Ku download from store wananiambia fail we will retry soon.shida nn hapo
 
Kutumia store kwangu mpaka niwe na speed kubwa sana ya internet.
Ila kwa software zinazopatikana free store unaweza kuzipata sehemu nyingine pia kwenye internet
nipe link kiongozi au naomba nitajie hizo free store ili nipakue
maana Kila nikitaka ku acces store inasumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom