Aisee hawa EFM naona wanasonga tu

Clouds radio ya matangazo!!! kwa hapo tu wamewakosa vijana wengi manake wengi wa wasikilizaji wamechoka kusikia kelele za matangazo mwanzo mwisho halafu tangazo lile lile kila siku.
Kwishney hao!
 
Bwakla anaingia kila break ya matangazo inapoingia na yy anaingia ile ni burudani commey mzee
 
Unajua wote mnaosema wapunguze singeli ...tabueni hiyo ndiyo iliyokuwa njia yao kuu ya kuingia sokoni so hawawezi kuiacha hivi hivi maana mpaka wana producer ambae anawafanyia wasani mixing na kila week zinatoka nyimbo 5 za singeli mpya tena bure,unazani wataacha VIP na wakati hizo nyimbo zimewafanya wakajulikana kwa haraka
MF.jiulize pale mawingu walisema hawawezi kupiga mziki wa singeli coz ni mziki wa kihuni hawakumaliza hata mwenzi EFM ikawa redio inayoongoza kusikilizwa dar na pwana ,kuona hivyo wakamchukua kicheko waulize Leo kicheko anakazi ngani pale ,kapotea kweli kweli ,EFM walimchukua PJ kwa ajiri ya kusoma Magazeti wakafanya figisu akarundi ...wala hawakupata shinda wakamuweka maulid kitenge na amefiti kabisa
Yani ukweli tu jamaa yao mkurungenzi wa vipindi pale yupo vizuri sana akishirikiana na GM ssebo
Cku ya IDD in vitasa day na cku hiyo wanawasha mikoa 4 ,mbeya,tanga,Dodoma ,....
 
Clouds radio ya matangazo!!! kwa hapo tu wamewakosa vijana wengi manake wengi wa wasikilizaji wamechoka kusikia kelele za matangazo mwanzo mwisho halafu tangazo lile lile kila siku.
 
KOMAA CONCERT I AKUJA HIVI KARIBUNI...91.3 MWANZAA ,93.7 DAR NA PWANI
E. ENTRAINMENT
E.EMPOWERMENT
E. EDUCATE
UNAPATA EFM mziki unaongea
 


Hawa jamaa wako fiti na uzuri ni kwamba hawajihusishi na madawa ya kulevya kama wale jamaa wa mawingu.
 
WASIKILIZE EFM SASA DAR 93.7
MWANZA 91.3
MBEYA 103.3
MIKOA MINGINE INAFATA
Mziki unaongeaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…