Aisee hawa EFM naona wanasonga tu

Kwanini isiwe RFA, EA Radio au Magic FM pamoja na hiyo mawingu zote kwa pamoja zijiangalie?! Yaani wabongo hatuwezi kusifia kitu bila ya kukiponda kingine?! Efm wanafanya vizuri sawa, lakini kuilinganisha na Clouds ni sawa na kumuiga tembo kunya! Karibia redio zote za fm wameiga kila kitu kutoka Clouds. Tofauti ya Efm ni Bwakila, kuongeza muda wa kujadili michezo na kupiga singeli tu. Radio ambayo iko tofauti na nyingine ni RFA tu, nayo inafeli tu, sababu ya kisiasa. Efm onakuja vizuri, lakini haijafikia kiwango cha redio ya watu. Na kudhihirisha ubora wake ni kitendo cha kulinganishwa na kila kituo kinachoanzishwa Bongo. Clouds ilikuwepo hata kabla wengine hawajaja mjini na kipindi hicho Dj.majizo anahangaika na daladala beats yake pale magic. Na nimegundua watu wengi humu wana chuki na mawingu. Ila ni asili ya watanzania kumchukia mtu aliyefanikiwa. Mungu atunusuru na hii tabia.
 
Inashika frequency zipi mwanza sijawai kuisikiliza mawingu ndo habar ya taifa
 
mma kyala nkota nkamu jobha tukeete. Po Kyela fm pako joope itakuja juu siku moja eti eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahah...kingamu,ajikujha ubho..syosya iredio situ jirungwe fm,chai fm...isikwisa sije kufwana ni Efm.
ugwe gwe gwa khugu nkamu gwangu?
 
sio wa bongo tu hata wew ulichoandika hapa ni chuki tu kwanin efm wanatoboa
 
e-fm wako vzr sana kuanzia management mpaka wafanyakaz wake kwenye ubunifu!

pia walikua wajanja kuajiri watangazaji ambao wengi wao wana exposure !

ukiwachunguza kwa makini radio yao inaelimisha na kuburudisha! wamebase kwenye rika zote wazee vijana na watoto ili kujitengenezea funbase! kuthibitisha hilo angalia mpangilio wa vipindi vyao !
j3-ijumaa

joto la asbh_ hiki kipindi kinabase sana na mambo ya kijamii kisiasa na kiuchumi! hapa wanawakamata watu wa rika zote zaidi sana wazee

sports HQ- hapa ndo wamewakamata sana watu zaidi sana vijana na wazee kiasi

uhondo-hiki kipindi kimekaa kimipasho! wadada na wamama na vijana kwa ujumla wanahusika

ladha 3600- hapa ndo vijana mwanzo mwisho! habr zote za wasanii wa nje na wa ndan utazipata pia ngoma kali zinazotrend

ubaoni-rika lote linahusika hapa! kipind kimekaa vzr sana pia mpangilio wa segment zake

e-sport -kama kawaida vijana na wazee waliomiss sports hq wanaweza kupata hbr japo kwa ufupi !!

genge- hapa ni wana singeli mwanzo mwisho! watu wa mwambao wanafaidi sana hiki kipindi!

jumamosi na jumapili kuna vipindi vizuri sana kuaanzia kipindi kiitwacho "mezani" , e-gospel, kipindi cha watoto n.k!

ndani ya miaka mitano wakiendelea hivi watakua brand kubwa sana
 
Wanapatikanaje?
 
Sipendi singeli kabisa, Efm wanapiga singeli kila nikisikiliza, sema kuna "mwanaume mashine" na "vituko vya Bwakila" huwa nacheka sana.
 
singeli kila wakati au kutawala,katika vipind inaboa na ndo mana mi situmii hyo redio.lada kw vipind vy michezo na vingne viko poa,na kumskiza bwakira na anko wake.
Mkuu emb nisaidie, Bwakira huwa yuko saa ngapi?
 
Mkuu emb nisaidie, Bwakira huwa yuko saa ngapi?
Mkuu hat sifaham huwa anakuw muda gani,maana utakuta asubuh au jion unawash redio unamskia au mida ya mchana unapita kitaa unamsikia.ila nadhani huwa kwa siku inajirudia zaid ya mara 3 katik muda tofaut tofaut,na huwa ni hyohyo kwa siku 1 katika mar zote hzo.jarbu siku 1 iskize efm mwanz mwish...
 
E Fm wamekuja kwa kasi sana, naamin wakiendelea na moto huo soon watafika anga za mawingu fm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…