Aisee hawa EFM naona wanasonga tu


Efm wana miaka 50 ijayo ya angalau kuikaribia Clouds fm. Labda ungeniambia wanafanikiwa sana kwa Vibwagizo vyao vya hapa na pale ningekuelewa ila siyo kwa mambo mengine. Tena waambie wasijidanganye na wasipoteze muda wao kutaka kushindana na Clouds fm ila wajitahidi tu waweze kushindana na akina Times fm, Sibuka fm na City fm Radio.
 
EFM habari ya mjini labda kama haujawahi kwenda dar hivi karibuni wana kitu cha sport HQ,
 
EFM habari ya mjini labda kama haujawahi kwenda dar hivi karibuni wana kitu cha sporHQ,

Kwahiyo sijawahi kwenda Dar ina maana sasa hivi ninavyoandika hivi nipo Tumboni mwako au? Watu mliokuja Dar kwa Mbio za Mwenge mnajulikana tu.
 
hawa efm si ndo walimtia kiburi ruby, hivi wamemuacha wapi tena?
 
Kwahiyo sijawahi kwenda Dar inasubira sasa hivi ninavyoandika hivi nipo Tumboni mwako au? Watu mliokuja Dar kwa Mbio za Mwenge mnajulikana tu.
Sasa wewe upo dar alafu unajitia haijui efm hao clouds sasa hivi hakuna kitu kabisa subiri hizo code mpya zianze kupiga masafa ndio utaelewa
 
Mchezo utakua mtamu efm wakitanda mikoa yote km clouds,ingawa huu mchezo hauhitaj hasira
 
Sasa wewe upo dar alafu unajitia haijui efm hao clouds sasa hivi hakuna kitu kabisa subiri hizo code mpya zianze kupiga masafa ndio utaelewa

Kwahiyo kumbe ulidhani na Mimi nipo huko Kijijini kwenu Mwanza ulipo?
 
Hapo Mwanza wana promosheni ya kugawa mafuta ya bodaboda kwa wanaojibu maswali yao ,so ndo maana kila mtu masikio kodo,h halafu kipya kinyemi. Hao jembe fm walikuja kwa mkwala lakini wameshindwa kuvuka hata hapo Mwanza tu
Nilisikia Jembe Fm wanavuka Mwanza, maajabu wameishia kuhamia Jembe Risort.
 
Kuna jamaa hapo juu anatoa povu kuwatetea clouds haikosi ana hisa kama sio ruge & Co Hawa efm wanakuja vizuri sana ukweli unauma...mi mwenyewe ikifika saa 3 asbh najikutaga tu tayari nipo Makao makuu ya michezo achilia mbali kuusubiria ubunifu wa bwakila na uncle + kupata wasikilizaji ni ubunifu vipindi vingi ni vilevile ila efm wanaanza kuwazidi mawingu,mbona mawingu mnalialia kwani mmejipangaje
 
these guys are doing good jobs not only in mwanza but also in Dar. Truly they are entertainers.
 
these guys are doing good jobs not only in mwanza but also in Dar. Truly they are entertainers.
 
hahahahaha mzee wa chuki ningeshangaa ungekosa kwenye huu uzi hahahahaha
Naona umebanwa kwikwi....
 
Ww kiazi Mimi na mwanza wapi na wapi ,alafu usijitie mjanja kulilia miji ya watu huko dar ww mwenyew Ni wakuja tu

Wakuja huwa hazaliwi Dar es Salaam sawa? Tatizo lako umekuja Dar es Salaam ukiwa na Umri wa miaka 43 hiyo uliyonayo sasa hivyo ni lazima uushobokee huu Mkoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…