singeli kila wakati au kutawala,katika vipind inaboa na ndo mana mi situmii hyo redio.lada kw vipind vy michezo na vingne viko poa,na kumskiza bwakira na anko wake.
Nipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji.
Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana.
Nawatabiria makubwa ingawa safari bado ni ndefu.
Kipindi cha michezo cha asubuhi kimekamata saaaaana
Hahahah...ni nzuri san ila singeli,naipenda..sema ni kw baadh ya nyimbo kam hyo na zngne.tatzo unawez pasuka sikio...fyobhene ntikupilikisya EFM.Hiyo hiyo singeli ndo inawafanyakazi wapasue anga na kupendwa....
Hahahaha utatoa hutoi?
pesa tatizo majjizzo bosi mtoto kaenda kumfurusha vibaya sana huyo jembe hapo...... kule mawingu ofisini hakukalikiHapo Mwanza wana promosheni ya kugawa mafuta ya bodaboda kwa wanaojibu maswali yao ,so ndo maana kila mtu masikio kodo,h halafu kipya kinyemi. Hao jembe fm walikuja kwa mkwala lakini wameshindwa kuvuka hata hapo Mwanza tu
pesa tatizo majjizzo bosi mtoto kaenda kumfurusha vibaya sana huyo jembe hapo...... kule mawingu ofisini hakukaliki
Hahahah...ni nzuri san ila singeli,naipenda..sema ni kw baadh ya nyimbo kam hyo na zngne.tatzo unawez pasuka sikio...fyobhene ntikupilikisya EFM.
Yah singeli zimezidi,hasa huku mikoani hawaipend singel kiviiile...ila nimependa ubunifu waoWako vizuri kiukweli.. wajitahidi kuongeza masafa katik mikoa mingine ili izid kupanuka zaidi..
kipind chao cha sportheadquoter nakikubali sana but wapunguze singeli
Ajikhuja kanunu,abhakamu bhitu bhope bhapilikisyege ni singeli bhamoghe itoloo..hahahUpilikiswege itolo, bhikusamila pa Mbeya wakitoka Mwanza
Poromosheni ya mafuta ikiisha watu wanaludi mawingumwisho wa mwaka geo poll watatufungia hesabu bado frequency sita tutimize mikoa kumi tuliyoahidi
Upilikiswege itolo, bhikusamila pa Mbeya wakitoka Mwanza
Ubunifu ganiNipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji.
Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana.
Nawatabiria makubwa ingawa safari bado ni ndefu.
Kipindi cha michezo cha asubuhi kimekamata saaaaana
Ubunfu ganiYah singeli zimezidi,hasa huku mikoani hawaipend singel kiviiile...ila nimependa ubunifu wao
Usijali mkuu ni kweli hawaipendi lakini hata dar mwanzo napo ilikuwa hawaipendi ila sasa ni mwendo wa kuipromot singel na hiyo ndio imeifikisha hapa ikachukua tuzo 4 mwaka huu radio bora Tanzania. Radio inayokuja kwa kasi zaidi. Radio yenye ubunifu zaidi. Mtangazaji bora zaidi. Usijali wataipenda tu singel na hukoYah singeli zimezidi,hasa huku mikoani hawaipend singel kiviiile...ila nimependa ubunifu wao