Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,718
- 44,323
Picha ipo edited hiyo angalia mwanga.Mwambie a - download Google translate au hana smartphone wala pc
Dah kumbe upo jana nilikuwaza kimoyo nikajiuliza mayoo wane numbisa yuko wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna ugonjwa mbaya kama stress jaman[emoji24][emoji24]acha tu nifungue roho yangu ya furaha mungu pekee ndo anajua hatma yangu[emoji120][emoji120]huko jamuhuri ya watu wa FACEBOOK huyu jamaa juz alijiandikia rest in peace to me[emoji22]na akaandika kama kuna mtu ananidai aje kesho asubuh mweeeee kajinyonga kweli[emoji25][emoji25]kamchoma mkewe visu vingi lakin hajafa ila yy ndo rest in peace yake imetimia jaman[emoji22]haki vitu vinavyoandikwa mitandaon viwe vinafuatiliwa na watu wa karibu wa muhusika wakat mwingineView attachment 1363636View attachment 1363637
Left in peace [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyu mkuu wa majeshi ni kiboko[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu vichwa vimekaa tenge kabisa.