madada wa Bongomovie, wanavo jitangaza na kuweka wazi na wanaume waliotembea nao, mbona hatuwaiti malaya? na bado soko lao linazidi ku paa tu.Hahahaa uwazi kwa umma wa kitanzania wapi na wapi si ataishia kuitwa malaya tu
madada wa Bongomovie, wanavo jitangaza na kuweka wazi na wanaume waliotembea nao, mbona hatuwaiti malaya? na bado soko lao linazidi ku paa tu.
Anaweza akawa na Whatsapp mkuu kwenye magroup huko, Insta au hapa JF [emoji3]Labda mke wake hayupo fb
Malizia jina la mwisho mkuu hakuna binadam mwenye majina mawili tuuJuma pumba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kesi ya mwenye majina hayo ipo mahakamani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125].....Maharage
Yupo face book?tulia nimfuate huko huko Facebook
Huyo mtoto aloshika tama wakati hadija anakula ukodac ananipa mawazo mengi! Kuna kitu anaelewa kuhusu bibie au kuhusu Kadara.
Ya malkia tuwaachie wenyewe, sisi tujimwage na kibantu chetu,,
Juma unazingua sana we jamaa,, mtoto mzuri kama huyu unaanzaje kumuacha kwamfano,,