Aisee, cheki hili jamaa

Nimepita hapo mda si mrefu aiseee!!!
 
Bora upige Reverse
Bora upige No rinda (No round ya mguu mmoja)
ya nini kwenda lichokoza hili lidude kwani kupanda huo mlima haliwezi tena
km una 15ton mkanyage
 
Ooyooo hili joka ni joka mtu na lishatumwa kwenda kufanya ma asii na ndo haya ni maendeleo wetu
 
Kama una gari unampitia juu fasta
 
Nawaogopa hawa viumbe kuna day tuna walk na hubby ilikua night acha tumuone yule wa kusimamisha kichwa nlikimbia ile nkiguswa na kitu nafkir nyoka....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wee usikemee angalia hicho kitu kwanza, hebu jaribu kuvaa miwani ukione vizuri au hujawahi kukiona kitu cha namna hiyoo kama hujawahi jaribu kutembelea Tarangire National Park

Hivo alivokaa kama gogo eeeeh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yan hapo unamkanyagia mafuta hadi ajute kukaa hapo.

Ila naogopa nyoka vibaya sana
 
kuna nyoka nmemwona hapo chalinze to lugoba sehem moja inaitwa mboga.. semetrailer imeangushwa na mama ake na huyo mdudu.. n mkubwa balaa huyo mara 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…