R Rajab o Rajab Member Joined Mar 19, 2015 Posts 9 Reaction score 2 Dec 30, 2017 #1 Mambo vp wadau hivi mtandao wa airtel una kifurushi cha sms? tu kama ilivyo kwenye voda yaan sh. 1500 sms bila kikomo mwezi mzima. na kama ipo kwa airtel naomba kujua namna ya kununua
Mambo vp wadau hivi mtandao wa airtel una kifurushi cha sms? tu kama ilivyo kwenye voda yaan sh. 1500 sms bila kikomo mwezi mzima. na kama ipo kwa airtel naomba kujua namna ya kununua
fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 494 Reaction score 613 Dec 30, 2017 #2 Hamna
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,541 Reaction score 18,753 Dec 30, 2017 #3 Mkuu hamna, labda uamie Voda kama unahitaji hivyo.
I ilogelo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 749 Reaction score 727 Dec 30, 2017 #4 Airtel kuna bando ya kupiga mitandao yote dk 350, SMS 1000 kwa mwezi kwa sh.10,000. Ni nzuri kuliko mitandao mingine yote.
Airtel kuna bando ya kupiga mitandao yote dk 350, SMS 1000 kwa mwezi kwa sh.10,000. Ni nzuri kuliko mitandao mingine yote.