issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,139 Dec 19, 2016 #1 Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,745 Reaction score 22,663 Dec 19, 2016 #2 issa mweusi said: Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi .... Click to expand... Wananufaika kupitia riba wanayoweka Mfano waweza kukopeshwa TSH 35,000, Na ukatakiwa urejeshe TSH 39,000 Hivyo hapo faida yao ni tsh 4,000
issa mweusi said: Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi .... Click to expand... Wananufaika kupitia riba wanayoweka Mfano waweza kukopeshwa TSH 35,000, Na ukatakiwa urejeshe TSH 39,000 Hivyo hapo faida yao ni tsh 4,000