mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Tuambie kwanza umelamba ngapi kutoka kwa hao waliokutuma, kabla hatujalihamishia tangazo lako jukwaa la matangazo tukutoze kitu kidigo?
Jamani hata Voda nao wako vizuri kwa vifurushi vyao. Tsh. 350/= (dk. 10) na Tsh. 500/= (dk. 20). pia wanatoa zawadi, mathalani mimi nimepewa Tsh. 20,000/= kama salio, kutumia kwa siku 3 kupiga voda-voda. Wanatupa unafuu wa kuwasiliana kwa kweli! Wale wanaotumia Zantel na Tigo hebu mtujuze wana nini kizuri?
mbona hizo ofa zipo kawaida tu! Sidhani kama hawa mobile operators wanatofautiana sana. Mimi huwa nawekeza sh. 500 vodacom napata ma.mb na ma.sms kibao hadi siyamalizi kabla siku haijaexpire. Hizo sh. 749 naona kama vile airtel wanakuibia!
Airtel wapo fair sana cku zote!voda ni majizi sana haya
hamna ya mwezi?
asante mkuu!
ahsante kwa kutujuza