Airtel wapandisha vifurushi vya OMG

Airtel wapandisha vifurushi vya OMG

romarry

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
65
Reaction score
22
Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa na speed ndogo.

Sasa leo naona wamepandisha vifurushi vyao kwa takribani 30% na 50% kulingana na kifurushi usika. Mfano kile cha huku mfano kile cha wiki kwa tsh 1000 ni sh 2000 na wakiongeza hapo MB 224 tu na kuwa 1gb toka 800Mb
 
Attachments

  • 1429856596856.jpg
    1429856596856.jpg
    33.3 KB · Views: 1,173
Airtel kwenye simu siwezi kutumia, kwasabu ya overheating effect.
Nime experience toka nipo Symbian mpaka leo hii Android.
 
Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa na speed ndogo.

Sasa leo naona wamepandisha vifurushi vyao kwa takribani 30% na 50% kulingana na kifurushi usika. Mfano kile cha huku mfano kile cha wiki kwa tsh 1000 ni sh 2000 na wakiongeza hapo MB 224 tu na kuwa 1gb toka 800Mb

Aisee naona hapo wamenishika maana nilizoea kununua 1gb kwa 1000 kisha wakapunguza zikawa mb800.any way tutanunua tu
 
Kweli wameboa sana. Lakini hatuna mbadala. Kwango tigo speed ya konokono, Vodacom ndo hivyo tena! Tutatumia lakini huku tukilalama!
 
Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa na speed ndogo.

Sasa leo naona wamepandisha vifurushi vyao kwa takribani 30% na 50% kulingana na kifurushi usika. Mfano kile cha huku mfano kile cha wiki kwa tsh 1000 ni sh 2000 na wakiongeza hapo MB 224 tu na kuwa 1gb toka 800Mb
Capture.PNG
Kwa sisi matomaso hadi tumeenda thibitisha...:lol:
 
Hivi makampuni ya simu huwa hakuna taasisi inayohusika kudhibiti bei za Huduma zao?..Ingekuwa daladala ikaongezwa hata sh 50 kwenye bei ya zamani sidhani kama lingekubalika kirahisi. Hawa watu wanajinufaisha wanavyotaka bila kujali consumer anaumia kiasi gani. Anyway tutanunua tu but kupandisha bei ya kitu kwa 50% sio fair.
 
Wahusika wa kubwa ni TCRA ambao nahc wamelala....acha hawa jamaa waendelee kutunyonya mpaka TCRA watakapo amka.
 
mimi ndo nilikuwa na mpango wa kuhamia huko kumbe nao ni kama voda.
 
Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa na speed ndogo.

Sasa leo naona wamepandisha vifurushi vyao kwa takribani 30% na 50% kulingana na kifurushi usika. Mfano kile cha huku mfano kile cha wiki kwa tsh 1000 ni sh 2000 na wakiongeza hapo MB 224 tu na kuwa 1gb toka 800Mb
Hii mitandao ya simu mpaka sasa cjaelewa lengo lao ni nn hasa...maan mpaka tigo wamepunguza MB kwenye university offer..
 
Tutumieni tu........sasa tutatumia nini...........?......
 
Wahusika wa kubwa ni TCRA ambao nahc wamelala....acha hawa jamaa waendelee kutunyonya mpaka TCRA watakapo amka.

TCRA ipi? Ile ya akina Innocent Mungy ambao wanalipiwa na hayo makampuni ya nje kwenye Safari zao za dubai?
 
Airtel kwenye simu siwezi kutumia, kwasabu ya overheating effect.
Nime experience toka nipo Symbian mpaka leo hii Android.

Kaka hebu fafanua hapo kwenye 'overheating effect' na mtando hiyo imekaaje?
 
TCRA ipi? Ile ya akina Innocent Mungy ambao wanalipiwa na hayo makampuni ya nje kwenye Safari zao za dubai?

Kwa ninavojua na nipo kwenye telecommunication industry izi bundle ni offer inayotolewa kwa wateja so TCRA wanaregulate bei nje ya ivyo vifurushi kama kb mija ni 0.2 au sec ni 4.1 hapo kampuni ikipandisha izo bei ndio kuna tatizo!
 
Back
Top Bottom