AIRTEL Vs VODACOM

AIRTEL Vs VODACOM

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Nimekuwa nikichanganywa sana na ujio huu mpya wa vodacom kutumia rangi inayofanana na Airtel.sijui wadau mnasemaje au TCRA haioni kuwa kibiashara itawaathiri Airtel kwa kuwa wao ndio walikuwa wa kwanza kutumia rangi hiyo mwanzoni kabla ya voda?
 
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?
 
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?
Hapo ndipo utata mtupu,mana haikupita muda na wao wakaja na rangi nyekundu na bajaj kama "Limousine"kweli biashara matangazo!
 
watajuana wenyewe sisi haituhusu!!!
 
Mbona Vodacom na Tiqo walikuwa wanatumia rangi ya bluu halikusemwa jambo?
 
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?

yaani wewe ndio hulielewi kabisa lile tangazo. voda huwa kwenye matangazo yao wana bambucha? kuanzia sasa ujue kile kigari kidogo ni Tigo na gari kubwa ni airtel. Tigo kwenye matangazo yao huwa wanamtu anakuwa na manywele kwenye lile gari dogo utamuona akitafutisha network na mwishoni watu wote wakishashuka huwa anatoka nje.
 
kama unadhani airtel ndio watakao athirika kwa hiyo rangi basi mimi nadhani voda ndio watakao athirika kwani tayari inajulikana kama ni ya airtel. acha wagombanie rangi wateja tunahitaji huduma na siyo rangi
 
Wateja wanaikimbia vodacom,hasa baada ya kuwa gharama zao ni wizi mtupu!
 
yaani wewe ndio hulielewi kabisa lile tangazo. voda huwa kwenye matangazo yao wana bambucha? kuanzia sasa ujue kile kigari kidogo ni Tigo na gari kubwa ni airtel. Tigo kwenye matangazo yao huwa wanamtu anakuwa na manywele kwenye lile gari dogo utamuona akitafutisha network na mwishoni watu wote wakishashuka huwa anatoka nje.
Teh Teh Teh duh!nilikuwa sijaelewa pale kumbe yule manywele waliomuweka ndio wakule Tigo aisee airtel kwa vijembe utafikiri wana Taarabu!
 
Mbona Vodacom na Tiqo walikuwa wanatumia rangi ya bluu halikusemwa jambo?
Tigo haikuwa inawaathiri sana kwani wanatumia rangi kibao kuliko voda!wewe siuliona Airtel waliingia na gia ya rangi ya njano kwenye matangazo yao pale mwanzo wakatolewa mkuku na TTCl mpaka leo hawaitumii tena!rangi zina hati miliki kumbe!
 
Kama Airtel na Voda wanatumia rangi nyekundu, sasa simba wa msimbazi watumie rangi gani!
 
Binafsi nimekua nikiipenda sana voda na ninayo muda mrefu sana na mpaka leo its my first choice bado...lakini utaratibu wa kubadilisha rangi kwakweli bado sijauelewa sijui kwanini lakini hata ukiangalia rangi yao ya zamani was very nice tofauti na sasa..! halafu matangazo ya simu sasa hivi hata mvuto hayana, mara watuwekee vikatuni vya ajabuajabu rangi zenyewe muingiliano hata hujui hii tigo,airtel au vodacom...wengine ndio wamekazana na hamia kwetu, yani vagalanti...mwe!
 
Vodacom M-pesa inatumia rangi nyekundu since imezinduliwa 2008 ss nashangaa mnaposema Vodavom imeifata airtel kwani maduka ya M-peda toka 2009 ) yalianza kupakwa rangi nyekundu muda sana Airtel si juzi tu!
 
oh mamma mia...vodacom mpaka nembo ni ya vodafone sio vodacom tena, lakini nashangaa mpaka sa hv bado huduma hawaja boresha.
 
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?

Haina noma hiyo, kama trade/service mark zingefanana kungeleta utata,kwa kuwa wako class moja ya biashara.
 
Naona wameamua kuhamia mpaka rangi ! Mwe
 
Hakuna utata..mbona before walikuwa na rangi ya blue so as tigo...nafikiri watakuwa wameingia mkataba na vodafone.
 
Binafsi nimekua nikiipenda sana voda na ninayo muda mrefu sana na mpaka leo its my first choice bado...lakini utaratibu wa kubadilisha rangi kwakweli bado sijauelewa sijui kwanini lakini hata ukiangalia rangi yao ya zamani was very nice tofauti na sasa..! halafu matangazo ya simu sasa hivi hata mvuto hayana, mara watuwekee vikatuni vya ajabuajabu rangi zenyewe muingiliano hata hujui hii tigo,airtel au vodacom...wengine ndio wamekazana na hamia kwetu, yani vagalanti...mwe!
yaani wananiboa mieeee.... hawana tofauti na wanaotongoza wake za watu. badala ya kutafuta vitu fresh wao wamekazana
na vitu used. inawezekana ni watu wa mascrepa
 
hivi ukiwa mtandao wa airtel unaweza kupokea au kutuma sms abroad?
 
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?

hasahasa yule mshikaji aliyekua wa mwisho kama wa kwenye lile tangazo la tigo la thumni kapiga pamba za 70's
 
Back
Top Bottom