sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Unaweza kuweka wazi furaha yako au ukaelezea kilichokufurahisha zaidi..teheee teheeeeeeeeeeBa ha ha ha!! Umenifurahisha sana hapo kwa wateja wa Tigo!
Hapo tupo pamoja///Airtel...tangu ikiwa Celtel..and i can't agree more!!!!
Inapendeza kama upo kote kote///nina samsung zangu mbili za double line, na enjoy huduma hizo zote
Hiyo simu line 4 lazima itakuwa ya kichina,teheee theheeeeeNinayo simu ya line nne, mitandao yote ninaifaidi, shamba boy na madenti waliipenda tigo those days longalonga bure saa 6 usiku, bt now tigo wezi tu maneno celtel na voda,
Utakuwa ni dalali nadhani........Mi nipo hapo kwenye ya MWISHO
Utakuwa ni dalali nadhani........
safi sana maendeleo hayoooooo////mimi ni houseboy lakini nina Voda na Airtel kwenye 'mchina' wangu!!
[QUOTEJe wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu?
Utafiti wa kina umeonyesha kuwa,watu wanao tumia line ya
VODA
-Ni watu wenye staha,heshima na vyeo.
AIRTEL
-Ni wafanya biashara ,wafanyakazi wa makampuni makubwa, viongozi na matajiri wenye pesa za kutosha.
ZANTEL
-Ni watu wa visiwani,mashekhe,mayakhe,mamwinyi na maustaadhi.
TIGO
-Ni wanafunzi,mahousegirl,mashamba boy,madalali, wasio na kazi maalumu,na watu wa mizinga na wengi wao afya zao ni migogoro.
Je wana JF mpo wapi kati ya hiyo mitandao hapo juu?
Ni ya muda mrefu ndio maana kwa upande wangu naona nimekuja na majibu sahihi:du hii kali, lakini sulpha, hii research ya siku ngapi?