mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kilio changu mimi ni kwa hawa majangiri. Hivi huku hamna hata wafanyakazi wa sekta hata ya ufagiaji tu huko airtel apeleke malalamiko? Haiwezekani ka kitu ka GB 13 inasema masaa 39 na wakati kuna mtu yuko kenya na yeye alikua anadownload ndani ya nusu saa akaniambia amemaliza.