Airtel Sijui niwaeleweje

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,171
Reaction score
31,357
Jumapili nimejiunga na kifurushi cha yatosha cha wiki namaliza kujiunga mda huo huo mb zikawa 0 nikawapa taarifa na mkakiri tatizo hilo lipo mkasema system yenu ya data inazingua ila mtarudisha mpaka mda huu hakuna kitu wiki inakatika hela imeenda no Internet.
Nkilala nkishtuka saa 10 usiku ndo naaanza pata notifications means internet mda huo inakuja mimi ni jini usiku niugeuze mchana??
Wadau ndo hayo majanga ya Airtel mwenzenu hata kujiunga tena inakataa na hata ukitumia vocha ya kawaida Internet sipati.
Wiki nzima kweli tatizo halijapatiwa ufumbuzi???
Mie mvumilivu ntaendelea kuvumilia mwisho wangu jumapili tu jumatatu nitapata ufumbuzi mbadala.
 
Mbona unaonekana unatigo? Tumia iko vizuri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mbona unaonekana unatigo? Tumia iko vizuri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Wewe kukumdogo una matatizo.
Tigo mimi sina nina voda halafu voda internet slow sana kudownload nipo bukoba vijijini labda nijaribu hiyo tigo kama internet itakuwa fasta.
Inauma sana mie mtumiaji mzuri sana wa internet na kazi yangu inategemea net
 
Last edited by a moderator:

Ijaribu ikigoma hamia TTCL

mkuu haya matatizo ya internet ni majanga kwa mitandao yote hususani ukiwa nje kidogo ya mji kuna matatizo makubwa sana ya huduma ya internet kwa kifupi wana zidiana matatizo, utakuta sehemu voda ina coverage nzuri tofauti na tigo au airtel kwa hiyo mambo ya nakua visevesa wahusika waliangalie hili kwa jicho la tatu.
 
Last edited by a moderator:
Disagree to Agree
kwa Voda sehemu yenye 3G Hamna mtandao unaweza kufurukuta
 
Zantel kwangu mi ndo naona inakimbiza ikifuatiwa na vodacom zantel bei zao za kifurushi ndo majanga unlimited laki tatu parefu hapo BOl unlimited 20000 speed majanga kitu edge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…