Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,335
- 23,951
KUTOKA NAMBA: 40
UJUMBE: Mpendwa mteja! Hongera umechaguliwa kuwa kwenye huduma ya Airtel Premier. Tafadhali zima na kuwasha simu yako uweze kuona AIRTEL PREMIER kwenye kioo cha simu.
Ni nini maana ya kuwa Airtel Premier member? advantages/disadvantages?
Ni nini kigezo cha kumfanya mtu kuwa Airtel Premier member?
Benefits?
Natanguliza shukrani...