arbostar09 New Member Joined Sep 28, 2014 Posts 4 Reaction score 1 Mar 6, 2024 #1 Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
M Mkumbwa Jr JF-Expert Member Joined Mar 23, 2016 Posts 2,702 Reaction score 3,834 Mar 6, 2024 #2 Ngoja waje. Jf nikisiwa cha maarifa
Sainya Jnr JF-Expert Member Joined Mar 14, 2019 Posts 490 Reaction score 1,167 Mar 6, 2024 #3 Airtel wanayo ila inaitwa "BIASHARA BANDO "
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,288 Reaction score 5,762 Mar 6, 2024 #4 arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... kampuni zote za simu, wanayo hiyo huduma
arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... kampuni zote za simu, wanayo hiyo huduma
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Mar 6, 2024 #5 arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... Sme za Airtel equivalent ya postpaid tigo
arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... Sme za Airtel equivalent ya postpaid tigo
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,140 Reaction score 88,809 Mar 6, 2024 #7 arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... Unlimited ni 70k kwa 10mbs na 110k kwa 30mbs. Na mimi natumia tigo ya 40k ila sio unlimited. Nadhani nitaamia Airtel ile ya unlimited
arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... Unlimited ni 70k kwa 10mbs na 110k kwa 30mbs. Na mimi natumia tigo ya 40k ila sio unlimited. Nadhani nitaamia Airtel ile ya unlimited
M Magomb New Member Joined Feb 15, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Mar 6, 2024 #8 Chief-Mkwawa said: View attachment 2925920 Sme za Airtel equivalent ya postpaid tigo Click to expand... Hii inapatikanaje jamn
Chief-Mkwawa said: View attachment 2925920 Sme za Airtel equivalent ya postpaid tigo Click to expand... Hii inapatikanaje jamn
Omary Mahayu Member Joined Apr 8, 2024 Posts 26 Reaction score 28 Apr 12, 2024 #9 arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... Halotel ipo unakua unajiunga mwenyewe kutokana na matumizi yako. Speed imeboreshwa maana ni laini ya internet tu. Attachments InShot_20231222_220513278.jpg 1 MB · Views: 45
arbostar09 said: Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake? Click to expand... Halotel ipo unakua unajiunga mwenyewe kutokana na matumizi yako. Speed imeboreshwa maana ni laini ya internet tu.
Quicklime Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 176 Reaction score 64 Sep 15, 2024 #10 Magomb said: Hii inapatikanaje jamn Click to expand... Karibu! Whatsapp 0743692987 Ninaitoa hiyo BIASHARA BANDO
Magomb said: Hii inapatikanaje jamn Click to expand... Karibu! Whatsapp 0743692987 Ninaitoa hiyo BIASHARA BANDO