Airtel ni wezi na hii nina ushahidi na mahali popote nipo tayari kutoa ushahidi

Same to me,yani ulivyoeleza hivyo hivyo.Nilijiunga bundle ya buku 1GB ndan ya dk10 wananiaambia bundle 90% limetumika.Nikawapigia wakanijibu bado sijatumiwa.Ndo nitoleee mpaka leo.

Wezi Sana hao
 
Nakubali

Nakubaliana na wewe,juzi tu voda nimetoka kutukana ,na nikawaambia wanirekodi siogopi chochote ,ushahidi Niko nao hata mahakamani nitawapeleka

Lakini Vodacom wanajitahidi sana. Kuwasaidia ni kuimarisha upande wa customer service tu ili watu wao wawe professionals badala ya kuwa na watu wanaosema "sio sisi ni system".
 
Same to me,yani ulivyoeleza hivyo hivyo.Nilijiunga bundle ya buku 1GB ndan ya dk10 wananiaambia bundle 90% limetumika.Nikawapigia wakanijibu bado sijatumiwa.Ndo nitoleee mpaka leo.

Wezi Sana hao
Airtel ni JANGA kwa watumiaji wa mitandao ya mawasiliano. It is the worst of all
 
Inaonekana wewe ni mfanyakazi wa airtel,umekuja kutetea wezi wenzio.Nenda kawaambie wananchi tumeanza kuwastukia
 
AIRTEL kwa kwl ni wezi bila kupepesa macho
Mimi nilishanunuaga bundle kupitia airtel money, halaf cha kushangaza sikupew mb ila pesa wakakata, wakasema ndani ya masaa 24 nitapewa MB zangu..lakin mpaka leo ni zaid ya miez 2..
 


Jifunze kuwa muelewa sio taaluma yako unataka kujua
 
Hii iPhone ngapy mkuu

Kuna mambo mengine watu ucomment bila kujua.mifumo ya app kisa siku inaboreshwa na uwezo mkubwa mpaka utaka kiwango kikubwa cha speed ya internet,kama app zenye mfumo mkubwa ni ngumu kukaa bila kupakua data.ukiwa na app zaidi ya 20 na zote zipo active kwenye data unategemea nini.

Elimu ya teknolojia sio elimu ya siasa.
 
Airtel ni wezi kila upande juzijuzi nilihamisha pesa toka Airtel money kwenda Tpesa zote line zangu pesa ikakatwa ujumbe ukafika na salio likapunguzwa lakini pesa haikufika tpesa, nikatuma mara ya pili mchezo huohuo lakini nilipotuma mara yla tatu pesa iklfika lakini zile za mwanzoni pamoja na kuzikata hazikufika.
Niliwapigia customer care airtel money wakasema system yao inaonyesha pesa imekwenda, nikawapigia ttcl wakasema pesa haijaingia niongee na airtel money kama vipi warudishe kwenye simu yangulakini nilipowapigia airtel money walikataa na kuniambia pesa imekwenda.
Niliwapigia tcra wakanilambia nitume malalamiko kwa email.
Nilipotuma malalamiko ttcl walinipigia baadla yla kuongea nao wakaniambia airtel money watarudisha pesa zangu baadae ndio Airtel wakarudisha cha kujiuliza ina maana system zipo kwa ajili ya kudhulumu wateja na sio wao kupoteza pesa
 
HAWA AIRTEL WAMEOTA MAPEMBE DAWA NI SISI WATZ TUUGANE NA KUGOMA KUTUMIA AIRTEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…