Airtel ni wakati wa kuiachia TTCL iwe huru

WAPOMA

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
689
175
Habari nilizozipata toka kwa mnyetishaji muhimu wizarani, sasa AIRTEL wamekubali kimsingi kuiachia 35% ambayo ni hisa alizokuwa anamiliki ndani ya TTCL.

Wameinyonya kampuni ya simu ya Watanzania kwa muda mrefu sana, Zitto ni muhimu mikataba yote ya kuuza TTCL tangu muda huo ichunguzwe!

Ilikuwaje Celtel iliyokuwa inamilikiwa na TTCL 100% ikahamia CEltel international, Na kuanza kubadilishwa majina mara MSI,ZAIN na sasa AIRTEL.Hakika mmeinyonya TTCL kiasi cha kutosha ni wakati wenu wa kuondoka sasa.
 
Mwaka huu zitto amekuwa muhimu sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
 

Fonted Red!! My God
 
Mwaka huu hadi unaisha kuingia mwaka ujao nao tutakuwa na series za kutosha za movie mpya ya ESCROW.
Tulieni Director Zitto afanye yake
 
Kwenye hii issue ya ttcl serikari ya awamu ya tatu na Prof. Mwandosya wanahusika sana
 
Huyu Pricilla Chilipweli kumbe ni fisadi kiasi hicho. TAKUKURU wamfuatilie waanzie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…