Habari nilizozipata toka kwa mnyetishaji muhimu wizarani, sasa AIRTEL wamekubali kimsingi kuiachia 35% ambayo ni hisa alizokuwa anamiliki ndani ya TTCL.
Wameinyonya kampuni ya simu ya Watanzania kwa muda mrefu sana, Zitto ni muhimu mikataba yote ya kuuza TTCL tangu muda huo ichunguzwe!
Ilikuwaje Celtel iliyokuwa inamilikiwa na TTCL 100% ikahamia CEltel international, Na kuanza kubadilishwa majina mara MSI,ZAIN na sasa AIRTEL.Hakika mmeinyonya TTCL kiasi cha kutosha ni wakati wenu wa kuondoka sasa.