Airtel na Airtel Money, Badilikeni

Airtel na Airtel Money, Badilikeni

LAKINI BADO, KWANN HAWA MBWA WA AIRTEL, WARUDISHE PESA ,BILA KUWASILIANA NA WAKALA KWANZA KWA SIMU????
 
Eneo hili, Watu wameshatapeliwa kwa staili hii zaidi ya watano


Mwingine mdada alikua keshapiga hatua sanaa kapigwa milion 2 laki sita.


Mwingine Jamaa kapigwa Milion na Laki nne


Mwingine Laki Nne,

Mwingine laki nane



Staili ya wezi niile ile..LAKINI MSHIRIKA MKUU WA WEZI, NI HAWA VIJANA WA HII MITANDAO, FORM FOUR ,NJAA NYINGI, NA VIMISHAHARA VYA LAKI MBILI


AKILI NDOGOOOO, WAO WAKISHAONA MTEJA KAPIGA, HAWANGAIKI KUJITIDHISHA, WANACHOANGALIA NI ENEO ALILOPO MTEJA. NA WAKALA YUKO WAPI.



VODA, AIRTEL MONEY. ACHENI UPUMBAVU, HELA HAIKOTWI.
 
Nikweli kabisa, ilitakiwa katikati hapo pawepo na "Kujiridhisha"
Kwamfano sasa ukamtumia tapeli ukafanikiea kuruidisha haya uanafikiri huyo tapeli kwenye kujiridhidha atasemaje akisema yake na wewe uakasema yako itakuaje apo
 
Kwamfano sasa ukamtumia tapeli ukafanikiea kuruidisha haya uanafikiri huyo tapeli kwenye kujiridhidha atasemaje akisema yake na wewe uakasema yako itakuaje apo
Hii haina changamoto maana wao kule kwenye mfumo kuna kila kitu .

Sanasana Tapeli atakula kona tu.
 
Back
Top Bottom